Habari Mpya Kuhusu Mchezaji Bruno Gomes Aliyekuwa Akiwindwa na Vigogo Simba na Yanga


Habari Mpya Kuhusu Mchezaji Bruno Gomes Aliyekuwa Akiwindwa na Vigogo Simba na Yanga
Bruno Gomes


 KIUNGO fundi wa Singida Fountain Gate kutoka Brazil 🇧🇷 Bruno Gomes amesema ana kazi kubwa ya kufanya kurudisha ubora wake wa msimu uliopita baada ya kukiri kuchelewa kujiunga na timu kumemrudisha nyuma kiasi kwamba hadi sasa bado anajitafuta.

“Nimejiunga na timu kwa kuchelewa bado sipo imara zaidi, lakini naamini hilo haliwezi kuniondoa mchezoni naamini nina muda na nafasi ya kuonyesha kile nilichonacho. Usajili uliofanyika unaniongeza changamoto ya kupambana zaidi na utanipa nguvu ya kuongezea ubora kutokana na kuhitaji nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.” alisema Bruno.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad