Haji Manara Aanza Kujikomba kwa Kajala Kisha Kuwaponda Kinadada Wengine



Baada ya ndoa zake zote mbili za mwisho kupasuka ndani ya muda mfupi, Haji Manara aanza kujikomba kwa Kajala kisha kuwatungua kinadada wengine

"Achana na kila kitu kuhusu Kajala, ila kwenye hili nakupenda bure my sister, upo very serious na mazoezi, unajijali mno afya yako, nimelipia wanawake wengi gym lakini wengi kama siyo wote wameishia njiani, wanaenda kujisnap siku mbili tatu, kisha wanayeya" - ameandika Manara anayesifika kwa uongeaji

"My sister unautengeneza mwili na afya yako kwa maumivu ya kutosha na hautanii love, una rika sahihi na jinsi ulivyo hauna kisu hata kimoja cha kutengeneza hipsi wala kota. Imagine hawa mpata mpatae wa mjini wakifika umri wako watakuwa nyang'anyang'a, hawapumnziki hawafanyi training, hawali vizuri zaidi ya michips kuku na mitomato pori, kutwa wanashinda Mbwikidi kupiga ndui za pombe" amesisitiza Manara

"Ahhh ngoja nikutafute tuyajenge dada yangu kipenzi, najua mimi na wewe tunashabikiana kinoma" - amemalizia Manara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad