Hakuna Kama SIMBA, Ticket za Simba Day Zimekwisha zote ni Mafuriko Jumamosi

Hakuna Kama SIMBA, Ticket za Simba Day Zimekwisha zote ni Mafuriko Jumamosi


Klabu ya soka ya Simba imetangaza kumalizika kwa tiketi za mzunguko za Simba Day siku ya Jumamosi Jijini Dar es salaam ambako itacheza na Power Dynamo ya Zambia.


"Historia imeandikwa, kwa mara ya kwanza tiketi za mzunguko zimemalizika siku 3 kabla ya tukio....


"Kawaida Mzunguko humalizika siku ya tukio lakini safari hii mzunguko zimeisha mapema tena zimeisha kabla ya madaraja mengine wakati mara zote mzunguko ndo huwa za mwisho, asanteni sana wana Simba tukutane Simba Day" ——— ameandika AhmedAlly

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad