Harmonize "Kajala Alikuwa Anachukua Asilimia 10 ya Mapato Yangu"


Harmonize ameendelea kumuanika mwigizaji na reality TV star @kajalafrida. Adai alikuwa akichukua asilimia 10 ya mapato yote yaliyokuwa yakipatikana kutokana na dili tofauti.

Mkali huyo wa 'Single Again' ameendelea kwa kusema "Waambie ulikuwa na password ya kila kadi za Benki, bahati haiji mara mbili".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad