Harmonize, Diamond Platnumz Kuimba Kwangaru Pamoja Baada ya Miaka 5

 

Harmonize, Diamond Platnumz Kuimba Kwangaru Pamoja Baada ya Miaka 5

Ni siku chache zimepita baada ya msanii wa #BongoFleva Diamond kuzindua tamasha lake na kufunguka kuwa atafurahi kama Harmonize na Alikiba wakikuwepo katika tamasha hilo.


Licha ya mwanzo harmonize kudai kuwa hatoweza kutokea katika tamasha hilo lakini sasa ameweka wazi kupitia InstaStory yake kuwa atakuwepo.


Harmonize ameandika


“nimeamua nitakuwepo Mtwara!! Hakikisha unanunua tickes tukaijaze Nangwanda umesha imagine Kwangwaru linapigwa live pale after 5 years.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad