Harmonize 'Nikionesha maisha mazuri siwatambii, nawatia moyo'

 

Harmonize 'Nikionesha maisha mazuri siwatambii, nawatia moyo'

Mwanamuziki @harmonize_tz wakati akiwakumbusha mashabiki wake ujuo wa single again remix anayotarajia kutoa na @rugerofficial amedai kuwa akionesha maisha ya kifahari anayoishi hamaanishi kuwatambia watu badi anawa-inspire kwenye utafutaji.


Kupitia #Instalive video ambayo ameingia leo msanii huyo hakusita kuonesha mjengo anaoishi, na sehemu za kujivinjari zilizopo katika nyumba hiyo, huku akidai kuwa pamoja ya kuwa na sweaming pool ndani lakini hajaitumia kwa miezi sita.


Harmonize amewataka watu kutokata tamaa kwenye utafutaji kwani hata yeye hakutegemea kama atakuja kuishi maisha anayoishi sasa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad