HATIMAE Waigizajii Shamsa Ford na Mlilo Wafunga Ndoa

 

Mwigizaji Shamsa Ford @shamsaford amefunga ndoa na Mwigizaji mwenzie Husseni Lugendo maarufu kama Mlilo @mlilotz ambaye wamekuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa huku wote wawili wakiwa tayari walishawahi kufunga ndoa hapo awali.


Shamsa na Mlilo wamefunga ndoa leo hii na kufanya shughuli fupi nyumbani kwa Baba mdogo wake Shamsa Tabata Kinyerezi.


Kama utakumbuka Shamsa aliwahi kufunga ndoa na Mfanya Biashara Chid Mapenzi mwaka 2016 na kisha wakaachana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad