Pia, imeelezwa Huduma hiyo inalenga kuepusha Wenye matatizo hayo kwenda kwa Waganga wa Kienyeji au kununua Dawa zinazouzwa Mitaani kiholela
Mwaka 2021, Serikali iliagiza kufanyika utafiti ili kubaini sababu na ukubwa wa tatizo la nguvu za Kiume Nchini baada ya kuonekana kuna ongezeko kubwa la Vijana wenye chini ya Miaka 35 wenye tatizo hilo