Jol Master Aachana Tena na Cheka Tu, Aandika Haya

Jol Master Aachana Tena na Cheka Tu, Aandika Haya


Mchekeshaji Jol Master amethibitisha kuachana na Platform ya Uchekeshaji ya Cheka Tu.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jol ameandika...


"NINA MIAKA MITANO SASA TOKA NIMEANZA KUFANYA STAND UP COMEDY NA PLATFORM ILIYONIPANAFASI NA KUNIELEA NI HII CHEKATU IKIWA CHINI YA KIONGOZI COY MZUNGU NAJUA BAADA YA HII POST KUTAKUA NA MANENO MENGI BUT UKWELI NI KWAMBA KUNA MUDA UNAFIKA WAZAZI WANAPOKUZAA NA KUKULEA UKAKUA INABIDI SASA NA WEWE UJITEGEMEE UANZISHE FAMILIA YAKO NA HAIMAANISHI KWAMBA UTAKUA HURUDI KUWASALIMIA ILA LAZIMA UENDE UKAPAMBANE SASA KIVYAKO


PIA KUNA TALENT MPYA ZINAKUJA AMBAZO ZINAHITAJI KUPEWA NAFASI AMBAYO WEWE ULIPEWA NA MIMI NAWAACHIA NAO WAKUE PIA @txdullah @ndaro__ @eliudsamwel @laughs_on_leonardo @saidsaid @asmah_jamida."


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad