Kanye West na Mkewe Kama Mrisho Mpoto, Watembea Peku Bila Viatu


Kanye West na Mkewe Kama Mrisho Mpoto, Watembea Peku Bila Viatu


Kwa mara nyingine tena Kanye West ameona nchini Italia akiwa na mkewe Bianca Censori wakikatiza mitaa wakiwa peku peku.

Kanye na Censori walinaswa katika picha wakati wakitembea bila ya kuvaa viatu nchini humo ambako wana siku kadhaa tangu wawasili. Wawili hao walifunga ndoa mwezi Januari mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad