Kibibi wa Huba Kuachwa Hivi Karibu na Wanaume Wengi Kumuogopa Kisa Tamthiliya ya Huba



"Kutokana na uhusika wangu ninaoigiza kwenye tamthilia ya Huba, imekuwa ngumu kupata mpenzi kwasababu wanaume wananiogopa, wanahisi kama mimi ni katili kupitiliza, ile ni kazi tu jamani, mimi siko hivyo"

" Kwahiyo sasa hivi niko single na muda wangu mwingi nautumia kufanya mazoezi ili kujiepusha na stress baada ya kuachwa hivi karibuni" - Getrude Mwita aliyejipatia umaarufu kwa kuigiza uhusika wa Kibibi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad