Kikwete na Kinana Wamtaka Kubenea Kuomba RADHI Kwa Kuwatuhumu Kupiga Uwekezaji Bandarini

Kikwete na Kinana Wamtaka Kubenea Kuomba RADHI Kwa Kuwatuhumu Kupiga Uwekezaji Bandarini

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana, wametoa siku 14 kwa Gazeti la MwanaHalisi na Mhariri wake, Saed Kubenea, Kufuta Kashfa iliyochapishwa na Gazeti hilo ikidai Viongozi hao wanawafadhili wanaopinga Mkataba wa Dubai na Bandari

Agizo hilo wamelitoa kupitia kwa Wakili wao, Eric S. Ng'maryo, na kueleza Gazeti hilo limechapisha taarifa za Uongo dhidi yao na endapo Uongozi wake hautaomba Radhi na Kuchapisha Taarifa ya Kufuta Kashfa hizo, Viongozi hao watachukua hatua za Kisheria

-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad