KIMENUKA..Gigy Money Adai Kutembea Kimapenzi na Kiba na Sio Diamond Platnumz

 

KIMENUKA..Gigy Money Adai Kutembea Kimapenzi na Kiba na Sio Diamond Platnumz

Wakati jana akiisimimisha 'dunia' ya wambea Instagram kwa kusema ana vitu alivyofanya na Diamond na kumtishia Zuchu kuwa asije akavitoa ikiaminika ni ushahidi wa kimapenzi, ghafla Gigy amebadili uelekeo.

Gigy amefanya mahojiano na waandishi kadhaa usiku wa kuamkia leo Agosti 26, 2023 na kusema watu wasimuelewe vibaya kwamba labda ametoka na Diamond, hajawahi.

"Mimi sijawahi kutoka na Diamond msitake niseme uongo, msanii pekee niliyetoka naye ni Alikiba," alisema Gigy.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad