Konkoni afunga Yanga ikiichapa Friends Rangers 6-1

Konkoni afunga Yanga ikiichapa Friends Rangers 6-1


Kikosi cha Yanga leo asubuhi kilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers katika uwanja wa Avic Town

Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 6-1, mshambuliaji Hafiz Konkoni akifunga moja ya mabao ya Yanga katika mchezo huo

Mabao mengine yalifungwa na Crispine Ngushi aliyepachika mabao mawili, Clement Mzize, Aziz Ki na Pacome Zouzoua

Kabla ya kuelekea mkoani Tanga, Yanga itacheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya JKU hapohapo Avic Town

Kikosi cha Yanga kilichoanza

1. Metacha Mnata

2. Yao Yao

3. Nickson Kibabage

4. Gift Fred

5. Bakari Nondo Mwamnyeto

6. Khalid Aucho

7. Crispine Ngushi

8. Mudathir Yahya

9. Clement Mzize

10. Aziz Ki

11. Maxi Nzengeli

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad