Kusugua Benchi Kwa Jonas Mkude toka Ajiunge Yanga Kwazua Maswali

Kusugua Benchi Kwa Jonas Mkude toka Ajiunge Yanga Kwazua Maswali


Jonas Mkude Tangu ajiunge na Yanga msimu huu 2023/24 amefanikiwa kucheza mechi moja ya Dabi Tena kaingia kipindi Cha pili katika mchezo fainali ya Ngao ya jamii pale Mkwakwani Tanga.

Tangu hapo mechi za kimataifa hajacheza na juzi wa ligi kuu pia hata benchi hakuwepo kiungo huyo mwenye uzoefu wa kutosha.

Tujiulize kwa class ya Mkude na uzoefu wake wa kucheza dakika chache Tena za mechi moja waswahili wanasema nyota njema inaonekana asubuhi.

Mchezaji ambaye amecheza michuano ya kimataifa kwa misimu mitano mfululizo hawezi kukaa benchi au kuwa chagua la Nne.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad