Mateso Aliyotengeneza Rafiki Juu ya Ndoa Yangu



Urafiki wetu wa muda mrefu uliojengwa na utani usio na mipaka ndio nguzo ulionifanya nipoteze amani ya moyo kwa kushindwa kuheshimu ndoa yangu changa isiyo na zaidi ya miaka miwili. 

Julitha rafiki yangu wa pekee ambaye tulizoeana sana kiasi cha kumpa uhuru wa yeye kukaa peke yake na shemeji yake chumba kimoja bila ya mimi kuweko ndiye rafiki aliye niponza na kunitesa sana.Julitha hakuwa ameolewa haikuwa tatizo kwa kuwa tulikuwa tumetoka naye kijiji kimoja na wote wenye kulingana umri. 

Mwezi wa saba ramadhani kwa sisi waislamu tukaanza swaumu na tulijenga mazoea ya kufturu pamoja mimi,mume na julitha. 

Chungu cha kumi na nane katikati kabisa ya mfungo nikapokea taarifa kuwa mama yangu mzazi anauguwa na anahitaji nikamuuguze kwa siku kadhaa nilifunga safari kwa kuwa sikuwa na lakufanya. Nilimuuguza mama kwa muda wa siku sita akapata nafuu na kisha kurudi nyumbani kwa mume cha ajabu ni kuwa mazoea yaliongezeka kati ya mume wangu na Julitha kuliko yale nilivyokuwa nimeyaacha.

Niliona kila dalili za kuwa mume wangu anatembea na rafiki yangu wa muda mrefu kwa muda mfupi ambao sikuweko hapo nyumbani. 

Jioni moja ya ftari niliumizwa kuona nimeandaa futari lakini mume alisema kuwa amekwisha fturu kwa shem julitha. Nilikasirishwa sana na hilo lakini sikuwa na lolote lile la kufanya pia.Nilifanya jitihada za kuongeza mapenzi kwa mume na kuyafanya yote niliyofundwa kwenye unyago lakini mume hakuwa wangu tena, upendo ulikwisha kuondoka.

 

Wiki tatu zilizo kuwa kama mwaka kwangu zilinisumbuwa sana na kuninyima amani kabisa katika ndoa yangu nikafikiri kanbisa kuondoka hapo kwa mume wangu,Nikiwa kwenye dimbwi la mawazo nikapata fikra niingie kwenye mitandao ya kijamiii nipate afadhari ya mawazo nikakutana na kiunganishi kinachomzungumzia daktari BAKONGWA https://bakongwadoctors.com/ kisha nikachukua nambari zake za whatsapp +243 990 627 777 na kufanya naye mipango ya tiba.

Siku mbili tu hazitokwisha daktari aliahidi kuwa kila kitu kitakuwa sawasawa nikafuata maelekezo kulingana na vile yeye anafanya huko baada ya siku mbili kwa kweli nilishangaa kuona mume wangu ananiambia yote kuwa Julitha ndiye aliyemtongoza na kunichafuwa mimi kuwa sina tabia nzuri kule tulikotoka mume aliniomba msamaha kwa tabia ambazo alikuwa anazifanya ndani ya wiki chache na sasa tunaendelea na maisha yetu yenye faraja.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad