Mbarawa ahamishiwa Wizara ya Uchukuzi, Bashungwa Ujenzi

Mbarawa ahamishiwa Wizara ya Uchukuzi, Bashungwa Ujenzi


Rais Samia Suluhu amefanya tena mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, ambapo amevunja Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kuunda Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi.


Amemteua Prof. Makame Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuwa Waziri wa Uchukuzi.


Amemteua Innocent Bashungwa, aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuwa Waziri wa Ujenzi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad