Mchambuzi Aongea Ukweli Mchungu "Yanga Leo Ikifungwa Kelele za Mayele Zitaanza"

Ni mechi ambayo ina presha kubwa sana, misimu mingi ya hivi karibuni timu ambayo imebeba Ngao ya Jamii ilimaliza kwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu.

Misimu yote miwili iliyopita Yanga ilishinda Ngao ya Jamii ilikuwa bingwa wa Ligi Kuu, misimu ambayo Simba ilishinda Ngao ya Jamii ilimaliza ikiwa bingwa wa Ligi.

Kwa hiyo Fainali Ngao ya Jamii leo inamaana kubwa kihesabu, mipango na kimkakati. Timu yoyote itakayopoteza leo hesabu zake zinaweza kuharibika kwa sababu itakuwa presha kwa zaidi ya mwezi mmoja.

Yanga kama itapoteza mchezo kutakuwa na kelele nyingi kuhusu Fiston Mayele, ikiwa Simba itapoteza mchezo na Moses Phiri akiwa benchi inawezekana story nyingi za Simba kufungwa zitahusishwa na Phiri kukaa nje.

Timu yoyote itakayopoteza naona itaanza msimu vibaya sana baada ya kupoteza Derby ya Kariakoo.

- Farhan Kihamu via @cloudsfmtz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad