Mchengerwa Ateuliwa Kuwa Waziri wa TAMISEMI

Mchengerwa Ateuliwa Kuwa Waziri wa TAMISEMI


Rais wa Jamhuri ya Muunganoi wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, ameanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Uchukuzi na Ujenzi, na badala yake ameunda wizara mbili ambayo ni Wizara ya Uchukuzi ikijitegemea na Wizara ya Ujenzi ikijitegemea.


Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mohame Mchengerwa kwenda kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad