Mohamed Hussein, Fei Toto na Kapombe Watemwa Timu ya Taifa


Timu ya Taifa @taifastars_ imeondoka leo kuelekea Tunis, Tunisia kwa Kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa Septemba 7, 2023 Algeria.

Katika kikoai cha wachezaji 25 walioitwa, walinzi wa klabu ya @simbasctanzania, Shomari Kapombe na Mohammed Hussein maarufu Zimbwe Jr pamoja na kiungo wa @azamfcofficial, Feisal Salum wametemwa kwenye kikosi cha mtaalam Adel Amrouche.

Vile vile, mshambuliaji chipukizi wa klabu ya @yangasc, Clement Mzize amejumuishwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Taifa Stars.

Kikosi cha Tanzania ambacho kimeitwa ni

1. Beno Kakolanya
2. Metacha Mnata
3. Erick Johora
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Bakari Mwamnyeto
7. Mzamiru Yasini
8. Sospeter Bajana
9. Clement Mzize
10. Kibu Denis

11. Hamid Mao
12. Mudathir Yahaya
13. Abdul Sopu
14. Abdulmalik Zakaria
15. John Bocco
16. Kennedy Juma
17. Lameck Lawi
18. Jonas Mkude
19. Morice Abraham

20. Haji Mnoga
21. Ben Starkie
22. Simon Msuva
23. Novatus Dismas
24. Mbwana Samatta
25. Abdi Banda

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad