MPYA: Vera Sidika na Brown Mauzo Waachana Rasmi


Mwimbaji wa Kenya, @brownmauzo254 amethibitisha kuachana rasmi na mzazi mwenzake, @queenveebosset baada ya uvumi wa muda mrefu.

Akitibitisha kuhusu ukomo wa safari yao hiyo ya mahusiano iliyokuwa na vipindi tofauti, Mauzo amesema wamefikia makubaliano ya kuachana na wataendelea na malezi ya pamoja ya watoto wao.

Mauzo na Queen Vee wamebarikiwa watoto wawili ambao ni @princess_asiabrown na @prince_icebrown.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad