Mwanamuziki Madee Asanda Kwa Khaligraph Jones Asema Haya "Bongo Hakuna Anayemuweza Khaligraph"

Mwanamuziki Madee Asanda Kwa Khaligraph Jones Asema Haya "Bongo Hakuna Anayemuweza Khaligraph"

Kutoka kwa Madee amefunguka haya juu ya Dis za Khaligraph Jones kwa marapa wa Tanzania kwamba hawamuwezi.

"Papa Jones yupo sawa.. hakuna anaemuweza kwa sasa... maana Rappers wenu mnaowaaminia wameamua kuimba Amapiano"

Je una neno gani la kumwambia Madee?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad