Mwijaku Amvaa Rayvanny 'Acha Kujikomba kwa Diamond Platnumz

 

Mwijaku Amvaa Rayvanny 'Acha Kujikomba kwa Diamond Platnumz

Baada ya Show alioifanya Staa wa Muziki @rayvanny huko Albania, Hichi ndicho alichokiandika Dc wa Instagram @mwijaku...

"@rayvanny wewe ni mkubwa sasa achana na kujikomba komba kwa MWAMBINO (Diamond) HAKUWEZI wala hato kusaidia kitu.

Hizi level hajawahi kufika , kwenye nchi za watu #ALBANIA umeisimamisha NEMBO na BENDERA ya TANZANIA . Umemuacha mbali MBALI SAAAANA.

Tangaza kambi ya UPINZANIA RASMIII UIOKOE BONGO FLEVA kama anavo fanya MFALME kwa sasa."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad