ONYO: Kama Huna Tiketi Kwa Mkapa Usisogee leo Simba Day

 

ONYO: Kama Huna Tiketi Kwa Mkapa Usisogee leo Simba Day

 ONYO: Kama Huna Tiketi Kwa Mkapa Usisogee leo Simba Day

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewataka watu wote wasiokuwa na tiketi za kuingilia kwenye tamasha la Simba Day siku ya kesho wasijaribu kabisa kuusogolea uwanja wa Benjamin Mkapa, kwani wanaweza kuwa ndiyo chanzo cha tatizo la msongamano.


Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo Jumanne Muliro, na kusisitiza kwamba watakaokiuka watachukuliwa hatua palepale, na kwamba limebaini uwepo wa watu wanaouza tiketi bandia licha ya tiketi zote za tamasha hilo kuuzwa (Sold out).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad