RATIBALIGIKUU: Kariakoo Derby kupigwa Novemba 5 kwa Mkapa

RATIBALIGIKUU: Kariakoo Derby kupigwa Novemba 5 kwa Mkapa


Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) leo imetangaza ratiba rasmi ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 ambapo mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga itapigwa Novemba 5 katika Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni.


Mechi ya mwisho kukutana Ligi Kuu Simba ilishinda mabao 2-0 yakifungwa na Henoc Inonga na Kibu Denis.


Je Yanga watalipa kisasi au wataendeleza uteja? Tupe maoni yako

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad