Web

Salim Kikeke Atangazwa na Simba Kuwa MC wa Simba Day

Top Post Ad


Salim Kikeke Atangazwa na Simba Kuwa MC wa Simba Day

Mtangazaji nguli wa habari, @salim_kikeke ametangazwa na klabu ya @simbasctanzania, kuwa ndiye MC mkuu wa Tamasha lao la 'Simba Day', Jumapili, Agosti 6.

Mtangazaji huyo wa zamani wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na shabiki Kindakindaki wa klabu hiyo ataongoza umati wa watu 60K katika dimba la Benjamin Mkapa, hapa Dar es Salaam.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.