Simba SC Wampa "Thank You" Peter Banda

Simba SC Wampa "Thank You" Peter Banda



Uongozi wa Simba SC, umethibitisha kuachana na mchezaji wake, Peter Banda kutoka Malawi aliyesajiliwa mwaka 2021 kutoka Nyasa Big Bullet ya Malawi kwa Mkataba wa miaka mitatu (3).

Uongozi wa Klabu unathamini mchango wa Peter Banda kwa kipindi chote alichohudumu nasi.

“Asante kwa muda wote uliokuwa sehemu ya familia ya Simba SC. Kila la kheri Peter Banda,” Imesomeka taarifa rasmi ya Simba Sc.

Je, Utamkumbuka Banda kwa kitu gani? Tupe maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad