Skudu Aondoka Nchini Leo Asubuhi Kurudi Afrika Kusini, Sababu Hizi Hapa


Mchezaji wa Kimataifa wa Afrika Kusini Skudu Makudubela anayeichezea Yanga, leo alfajiri ameonekana akiondoka nchini kuelekea kwao Afrika Kusini.

Kuondoka kwake wengi kukawa kuna leta maswali ila Yanga wameweka wazi kuwa ameondoka kwa ruhusa maalum ya Kocha Gamondi kwa ajili ya kwenda kubadili hati ya kusafiria (Passport).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad