Taarifa Mpya Kutoka TFF "Simba na Azam Hawana Vibali Kuchezesha Wachezaji Wakigeni"


Taarifa Mpya Kutoka TFF "Simba na Azam Hawana Vibali Kuchezesha Wachezaji Wakigeni"
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema Simba SC na Singida Fontaine Gate FC mpaka sasa ndio klabu pekee ambazo hazijawasilisha kibali cha mchezaji yoyote wa Kigeni.

TFF imeendelea kusisitiza kuwa hakuna mchezaji atakayeruhusiwa kucheza mashindano ya Ngao ya Jamii 2023 kama hatakuwa amekamilisha taratibu za kisheria.

Young Africans na Azam FC ndizo Klabu pekee zilizowasilisha vibali vya wachezaji wao wa kigeni.

Young Africans wamewasilisha vibali vya wachezaji 12 wakati Azam FC wamewasilisha vibali vya wachezaji 11.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad