Tessy "Natamani Kupata Mtoto Mwingine Lakini Siyo na Aslay"


Tessy "Natamani Kupata Mtoto Mwingine Lakini Siyo na Aslay"


"Natamani kupata mtoto mwingine lakini siyo na Aslay, Aslay mapenzi yetu yaliisha ni miaka mitano sasa tangu tulipotengana anaendelea na maisha yake na mimi naendelea na maisha yangu, yeye tayari ana watoto wengine ila mimi ndio nimechelewa kuongeza mtoto kutoka na mitikasi ya hapa na pale ya kutafuta Pesa"


"Lakini nikipata mtu ambaye tutaelewana kama ambavyo nilielewana na mwenzangu tukazaa mtoto nitakuwa tayari kuzaa Inshaallah. Nimeona amerudi kwenye muziki ni jambo zuri na najitahidi kumsapoti sema tu siposti Instagram watu wakaona


"Ila namsapoti kwa kusikiliza kwa sababu kuisikiliza wimbo kwenye Digital platforms zake ni moja ya sapoti kwa sababu anaingiza hela watu wakisikiliza, tuko vizuri na tunamlea mtoto vizuri"- Tessy mama mtoto wa Aslay

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad