TETESI: Simba kutemana na Moses Phiri

TETESI: Simba kutemana na Moses Phiri


Tetesi zinasema uwezekano ni mkubwa wa Uongozi wa klabu ya Simba ukaachana na Mshambuliaji wao raia wa Zambia Moses Phiri.

Mazungumzo ya pande zote Juu ya kuuvunja mkataba wa Mwaka Mmoja Uliosalia yameshafikiwa

Moses Phiri amekuwa akikosa nafasi ndani ya kikosi cha Simba chini ya Robertinho jambo linalowaibua Mashabiki kupigia kelele jambo hilo.

Mara zote Kocha Robertinho amekuwa akisema hana tatizo na Phiri na anamuhitaji katika kikosi chake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad