U T E U Z I : Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa na Balozi.


U T E U Z I : Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa na Balozi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad