UTEUZI: January Makamba Ateuliwa Waziri wa Mambo ya nje




Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu hii leo ambapo amemuhamisha January Makamba kutoka kuwa Waziri wa Nishati kwenda kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad