UTEUZI: Jerry Silaa Waziri Mpya wa Ardhi

 

UTEUZI: Jerry Silaa Waziri Mpya wa Ardhi



UTEUZI: Jerry Silaa Waziri Mpya wa Ardhi

Rais Samia Suluhu amefanya tena mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, ameanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Uchukuzi na Ujenzi, na badala yake ameunda wizara mbili ambayo ni Wizara ya Uchukuzi ikijitegemea na Wizara ya Ujenzi ikijitegemea.


Aidha, katika mabadiliko hayo, Rais Samia amemteua Mbunge wa Jimbo la Ukonga kuwa Waziri wa Ardhi, Jerry William Silaa kuwa Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad