UTEUZI: Rais Samia Amteua Biteko Kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati


UTEUZI: Rais Samia Amteua Biteko Kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Rais Samia Suluhu amefanya tena mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, ameanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Uchukuzi na Ujenzi, na badala yake ameunda wizara mbili ambayo ni Wizara ya Uchukuzi ikijitegemea na Wizara ya Ujenzi ikijitegemea.

Katika uteuzi huo, Rais Samia amemteua Dkt. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad