Vinara wa Mishahara LIGI ya Saudi Arabia Walipo Kina Ronaldo

Vinara wa Mishahara LIGI ya Saudi Arabia Walipo Kina Ronaldo


Ligi ya Saudi Pro imezidi kuwa kimbilio kwa baadhi ya wachezaji bora duniani, moja ya sababu ikitajwa kuwa ni maokoto.

Mastaa wa soka wa kimataifa kama Cristiano Ronaldo, N'golo Kanté, Karim Benzema, Sadio Mane, Riyad Mahrez na wengine wamejiunga kunako vilabu vya ligi hiyo, inayoendelea kujipatia umaarufu duniani kote.

Hii ndio list ya wachezaji 10 wenye mshahara mkubwa zaidi kwa wiki, katika ligi ya Saudi Pro kwa sasa. Kwenye mabano ni klabu anayocheza.

1.Cristiano Ronaldo (Al-Nassr) - Pauni Milioni 3.4

2.Karim Benzema (Al-Ittihad) - Pauni Milioni 3.3

3.N'golo Kante (Al-Ittihad) - Pauni Milioni 1.6

4.Sadio Mane (Al-Nassr) - Pauni 716k

5.Jordan Henderson (Al-Ettifaq) - Pauni 692k


6.Riyad Mahrez (Al-Ahli) - Pauni 604k


7.Kalidou Koulibaly (Al-Hilal) - Pauni 576k


8.Marcelo Brozovic (Al-Nassr) - Pauni 403k


9.Roberto Firmino (Al-Ahli) - Pauni 326k


10.Ruben Neves (Al-Hilal) - Pauni 288k


Na @ergonelly

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad