Maofisa George Mwamgabe, Sima Ngaiza na Dereva wa Shirika hilo, Abdulrahman Msimu, wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha Dawa aina ya Heroin na Bangi
Imeelezwa Agosti 2018 katika ofisi za Posta, Ilala jijini Dar es Salaam, washtakiwa walisafirisha Bangi yenye uzito wa Gramu 124.55 na Heroin Gramu 1.55 kupitia Vifurushi vya Mizigo kutoka Dar kwenda Morogoro
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kesi hadi Agosti 14, 2023 ambapo washtakiwa watarudi kwaajili ya kujitetea.