Yanga na Simba Kukutana Jumapili, Hakika Patachimbika Tanga


Yanga na Simba Kukutana Jumapili, Hakika Patachimbika Tanga

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.

Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshindi, Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.

Sasa Simba SC itacheza fainali dhidi ya Yanga SC siku ya Jumapili ya August 13 2023 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 19:00 wakati Singida watawania mshindi wa tatu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa mapema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad