Yanga Niliyoiona Jana ni Kali Kuliko ya Msimu Uliopita, Ubingwa Wanachukua


Rapa na shabiki kindakindaki wa @yangasc, Hamadi Ally [@madeeali], asifu ubora wa Wananchi, awatabiria makubwa katika michuano ya klabu Bingwa Afrika ambayo msimu huu wanashiriki.

"Yanga nilioiona jana nikali kuliko nilioiona msimu uliopita. Nina kila sababu yakusema (YANGA BINGWA THIS SEASON)."

"Naiona Yanga hii ikicheza Nusu Fainal Club Bingwa."

Mkali huyo wa 'Staki Muziki' ametoa mtazamo wake baada ya kuishuhudia @yangasc ikionesha soka safi katika michuano ya Ngao ya Jamii Jijini Tanga, iliyotamatika hapo jana usiku na @simbasctanzania kuibuka mabingwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati 3-1.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad