Yanga SC Kinyonge imeanza Safari Kurejea Huku Kombe Likienda Msimbazi, Wajifariji kwa Picha Hizi



Yanga SC imeanza safari kurejea jijini Dar es Salaam ikitokea Tanga kujiandaa na mechi zinazofuata wakianza na KMC Ligi Kuu Agosti 23 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Yanga ilishuhudia rekodi yake ya kutwaa Ngao ya Jamii mara mbili mfululizo (2021-22) ikikomeshwa na Simba SC kufuatia kipigo cha penalti 3-1 baada ya dakika 90 za mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kumalizika bila mshindi kupatikana.

Yanga sasa wanarejea Dar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS FC ya Djibouti utakaopigwa utakaopigwa Agosti 8, 2023 katika Dimba la Mkapa.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad