Yanga "Tutachukua Ubingwa wa Afrika Hivi Karibuni

 


Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, wa Yanga SC, CPA Haji Mfikirwa, wakati wa uzinduzi wa Documentary inayohusu mafanikio ya klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 amesema kuwa imani yake kuwa klabu hiyo itachukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwa miaka ya hivi Karibuni.

"Hii klabu kama sio mwaka huu basi miaka mitatu ijayo lazima tuchukue Kombe la Afrika," CPA Mfikirwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad