Yanga Watoa Ufafanuzi Mchezaji Bigirimana Kuonekana Kambini Avic "Kaja Kupiga tu Mazoezi"

Yanga Watoa Ufafanuzi Mchezaji Bigirimana Kuonekana Kambini Avic "Kaja Kupiga tu Mazoezi"


Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake.

Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi, 2023, Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, alisema Gael ni familia ya Yanga hivyo alifika kambini kuwasalimia wachezaji wenzake.

“Alikuja kuwasalimia ndugu zake, sisi Yanga ni familia. Anafanya mazoezi na wenzake lakini sio mchezaji wa Yanga, ni kama vile Aziz Ki alivyokwenda kupasha na ASEC Mimosas,” alisema Kamwe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad