Zuchu Amchana Mange Kimambi 'Mbona Huleti Hizo Fito zako Tanzania Umejificha Store Marekani'



@officialzuchu ..🤳..✍️..'Kakishindwaga basi silaha yake kubwa matusi, Allah akupe wepesi kwa yanayokusumbua manjilinji weye .let me see Tanzania nzima tukuabudu au sio .Sababu ww nani yani Mungu au ? Watakusujudia hao unaowavua nguo na bado wakakukimbilia ving'ang'anizi unawajua na huwasemi shenzi .Na nisipomng'ang'ania yeye nikamng'ang'anie nani wewe kwa izo buku buku zako au ilo wigi usovua .unanunua umaarufu kwa kukera nafsi za watu utukane wazazi watoto Huna mipaka hata chembe afu ukijibiwa kidg nyoooonyoo vinakuchonyota we bingwa eeh mbona huleti fito izo TZ Umejificha kwenye kistoo marekani Nakuonaga unaakili Ila kuna muda kutafuta kwako riziki kusifanye Ukakera nafsi za watu Koma bibi. Huna kipaji wala mtaji unakazi ya kulaani watu na kujitia Utu Mungu Sema niko pale Nawaitu bin Sharri muiteni Nzi Wenu Hapa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad