Afande Sele "Harmonize Ana Kipaji Kuliko Diamond Platnumz"

 

Afande Sele "Harmonize Ana Kipaji Kuliko Diamond Platnumz"

Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Afande Sele amesema Harmonize ana kipaji cha asili kuliko Diamond.


Kupitia kipande cha video, Afande amesikika akisema, alishawahi kumuambia hata Diamond kwamba mtu ambaye atamsumbua ni Harmonize kwa kuwa ana kipaji cha asili.


"Konde Boy ana kipaji cha asili sio uwezo wa kifedha au mambo mengine, Konde Boy ana kipaji cha asili na nilishawahi kumuambia hilo hata Diamond," alisema Afande.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad