Ajali yaua Wawili Chalinze Mkoani Dodoma





Ajali Chalinze Nyama (600 X 335)
Ajali yaua wawili Chalinze-Dodoma

Watu wawili wanadhaniwa kufariki dunia baada ya malori mawili ya mafuta kugongana uso kwa uso katikati ya eneo la Chalinze Nyama na Uchani mkoani Dodoma.

Watu walioshuhudia ajali hiyo wamesema imetokea saa 12 asubuhi hii leo.

Kwa mujibu wa dereva aliyeshuhudia ajali hiyo na kusaidia kuokoa majeruhi pamoja na ASF Mbaga kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambapo amesema katika ajali hiyo watu wawili wanadhaniwa kufariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad