Amber Lulu Ataja Orodha ya Wasanii Aliotoka nao Kimapenzi

Amber Lulu Ataja Orodha ya Wasanii Aliotoka nao Kimapenzi


Kupitia kwenye akaunti ya msanii Amber Lulu amewashangaza wengi, baada ya kutaja orodha ya wanaume aliotoka nao kimapenzi ambao ni mastaa

“Barnaba, Aslay, Rammy Galis na Young Dee lakini Young Dee sio sana, hao wanatosha, hao wengine hapana.

“Aslay nilishatoka naye ila alikuwa ni mtu fulani muelewa, yuko poa, ana heshimu mwanamke. Yuko noma, yuko vizuri, Aslay kiboko kabisa,” amesema Amber Lulu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad