Amri Kiemba Atoa ya Moyoni "Tumaini Pekee Tulilonalo Leo Watanzania ni Wachezaji Kujituma na Kujitoa"

Amri Kiemba Atoa ya Moyoni "Tumaini Pekee Tulilonalo Leo Watanzania ni Wachezaji Kujituma na Kujitoa"


 Ukiuangalia mchezo wa Algeria dhidi ya Tanzania kabla ya kwenda ndani ya uwanja huoni sehemu ambayo tunafaida kuelekea mchezo huo, kuanzia wachezaji, mataifa na kila kitu sisi tunaonekana ni timu ya daraja la pili.


Kitu pekee ambacho tunamatumaini nacho ni ndani ya uwanja, ndani ya uwanja kwa leo mategemo ni kwa wachezaji wenye exposure na uzoefu na matukio yenye presha kiasi hicho.


Tuna faida pia ya kuwa na wachezaji wengi wa timu ya Taifa ambao msimu uliopita wamecheza mashindano ya kimataifa kwa hiyo wamekuwa wakipata maswali magumu ambayo wanaweza kukutananayo leo.


Nadhani mechi ya leo inawahitaji zaidi wachezaji na mbali na kile walichonacho moyo wa kupigana ndani ya uwanja ndio unaweza kubadilisha matokeo kutoka Tanzania kutopewa nafasi ya kushinda kwenda kwenye kufanya kitu na kuandika historia.


- Amri Kiemba, Mchambuzi Clouds Media.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad