Amri Kiemba: Mawakala ndio Wanaotuharibia Timu ya Taifa

 

Amri Kiemba: Mawakala ndio Wanaotuharibia Timu ya Taifa

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania na mchambuzi wa soka Amri Kiemba amesema hatakama angekuwa yeye ndiye mwalimu wa timu ya Taifa angewaacha baadhi ya nyota kama alivyofanya mwalimu Amarouche kulingina na aina ya uchezaji atakaoutaka katika mchezo husika.


Kiemba amesema changamoto ni mawakala ambao ndiyo wana haribu kwa kutaka wateja wao waitwe timu ya Taifa hata kama hawakustahili kulingana na mfumo wa mwalimu kuelekea mchezo husika.


Mwalimu wa Stars Adel Amrouche ameacha baadhi ya nyota katika kikosi alichoita kwa ajili ya mchezo wa Septemba 7 dhidi ya Algeria jambo lililozua gumzo miongoni mwa wadau mbalimbali wa Soka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad