Baba Levo Amvaa Zuchu "Binti ana Roho Mbaya"

Baba Levo Amvaa Zuchu "Binti ana Roho Mbaya"


Ni muda mchache tuu tangu msanii Zuchu kuachia ngoma yake mpya ya ‘Chapati’, msanii mwenzake Baba Levo hakulikalia kimya ametoa ya moyoni huku akimlaumu Zuchu kwa kumpandikizia wimbo YouTube na kudai kuwa msanii huyo ana roho mbaya .


Baba Levo ameeleza kuwa Zuchu amekuwa na tabia ya kumuharibia upepo wake, yaani akitoa wimbo na yeye anatoa, huku akitaja baadhi ya ngoma ambazo Zuchu alizitoa baada yeye kuachia ngoma, akisema alitoa ‘Shusha’ akampandishia ‘Sukari’, ametoa ‘Amen’ kampandikizia ‘Chapati’.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad