Basi la Abood Lagongana na Noah, Wawili Wafariki Dunia

 

Basi la Abood Lagongana na Noah, Wawili Wafariki Dunia

Watu wawili wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari mawili katika eneo la Kitungwa, Kingolwira, Manispaa ya Morogoro leo Jumatatu, Septemba 11, 2023 baada ya magari hayo kugongana uso kwa uso.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad